Balozi Ali Karume akisalimiana na makada wa chamacha Mapinduzi mara
baada ya kuwasili katika Ofisi ya Halmashauri Wilaya ya kati Dunga
Zanzibar kwa ajili ya kutangaza nia ya kutaka kugombania nafasi ya Urais
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Baadhi ya makada walio shirika katika kumuunga mkoko mgombea Uraisi
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzaniakatika Ofisi ya Halmashauri Wilaya
ya kati Dunga Zanzibar.
Balozi Ali Karume akiwahutubia wananchi waliofika hapo ili kujuwa
lengo lake la kugombea nafasi ya Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania huko Ofisi ya Halmashauri Wilaya ya kati Dunga Zanzibar. PICHA NA MIZA OTHMAN -HABARI MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...