Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Norway
nchini, Hanne-Marie Kaarstad masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Norway
na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, jijini
Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.
Balozi wa Norway nchini, Hanne-Marie
Kaarstad (kulia) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias
Chikawe, kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya nchi yake na
Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, jijini
Dar es Salaam leo. Picha zote na Felix Mwagara,
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...