Home
Unlabelled
BREAKING NEWZZZZZZ;WATAKAO CHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KESHO HAWA HAPA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongereni sana marais watarajiwa. Mpaka kwa majina hayo ya kesho, ili CCM ijihakikishie ushindi wa nguvu zidi ya UKAWA itahitaji kumteua kati ya Dr. John Magufuli au Prof. Mark Mwandosya. Mbali na hao, labda tusubiri watakaochukua kesho kutwa. Kama alivyosema Mh. rais, chama kwanza urafiki baadae. Hata kama ulikuwa kampeni meneja wake wakati huo, muda umepita sasa mambo yamebadilika sana. Wakati ule hata Richmond na Escrow hatukuijua, tunahitaji kiongozi mwenye uwezo na uzoefu mkubwa, asiye na kashfa. Vilevile mwingine hata kama umekuwa naibu waziri wa fedha, kashfa ya Escrow inakuhusu pia ripoti ya CAG ya mwezi uliopita imebainisha mapungufu mengi sana katika ulipaji, hiyo yote ni Wizara ya Fedha. Sasa sisi wananchi wa kawaida tutakutofatishaje wewe na yule kampeni meneja wa JK wa mwaka 2005.
ReplyDelete