Mkurugenzi
wa Chuo cha Diplomasia, Balozi Dk. Mohamed Maundi akipanda mti wa
kumbukumbu katika eneo la chuo hicho ikiwa ni sehemu ya madhimisho ya
siku ya mazingira Duniani. (Picha na Francis Dande)
Mkurugenzi
wa Chuo cha Diplomasia, Balozi Dk. Mohamed Maundi akimwagilia maji mti
wa kumbukumbu alioupanda katika eneo la chuo hicho ikiwa ni sehemu ya
madhimisho ya siku ya mazingira Duniani.
Naibu
Mkurugenzi wa Mipango Utawala na Fedha wa Chuo cha Diplomasia, Dk.
Bernard Achiula akipanda mti wa kumbukumbu wakati wa maadhimisho ya siku
ya mazingira Duniani ambapo walipanda miti na kufanya usafi katika eneo
la chuo hicho.
Rais wa Serikali ya wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia, Nice Munissy (kulia) akiwaongoza wenzake kupanda mti ikiwa ni maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...