Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
sehemu ya juu ya Daraja la Kariakoo katika eneo la Ruvu Chini katika barabara
ya Bagamoyo-Msata
Sehemu ya Daraja la
Kariakoo katika eneo la Ruvu chini katika mradi wa Ujenzi wa Barabara ya
Bagamoyo-Msata ukiendelea kujengwa.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John
Pombe Magufuli akikagua sehemu ya chini ya daraja la Kariakoo.
Mkandarasi wa Barabara ya
Bagamoyo-Msata kushoto akitoa maelezo ya
Mradi wa Madaraja katika eneo la Ruvu Chini Mkoani Pwani huku Waziri wa Ujenzi
Dkt. Magufuli akimsilikiza kwa makini.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John
Pombe Magufuli akishuka ngazi mara baada ya kufanya ukaguzi wa Daraja la
Kariakoo katika barabara ya Bagamoyo-Msata
mkoani Pwani.
Picha kwa Hisani ya Kitengo
cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya
Ujenzi
tumeshaambiwa huyu ni mwalimu. cheza uone.asante ticha kwa ufuatiliaji.
ReplyDeleteThis bridge can not take long as such the appointed contractor doesn't seemed to be a professional in his profession therefore urge minister with his technical teaam to ensure to scrutunise this contractor and ensure supriise visit are done. To verify the quality and progress iis done
ReplyDeletemungu akubariki Mhe. Magufuli.... piga kazi Watanzania tuko nyuma yako....
ReplyDeleteMheshimiwa John Pombe Magufuli Saluti kwake Hili ni Jembe Jamani ndugu zangu Mtu akifanya vizuri mpongezeni tuache wivu na husda kazi zake zinaonekana sasa hivi barabara nyingi za Tanzania mpaka gwinde ndani ndani huko zinapitika mnataka afanye nini huo wote ni wivu tu. Big up Mh. John Pombe Magufuli Mpeni nchi muone kazi yake atavijua Vijiji vyote vya Tanzania kama aliweza kujua mazalia ya samaki baharini yako kiasi gani atashindwa kujua vijiji vya Tanzania. anasifa kibao 1) Mchapa kazi 2)Anauzika 3) Hamuhitaji kampeni 4)hana Longolongo 5) Anayajua majukumu yake mfuatiliaji kwa ujumla Mheshimiwa yuko vizuri Tumpongeze Magufuli yuko vizuri Mungu akusimamie katika safari yako ya Urais Mungu akubariki sana Tunaimani kubwa na Jembe.
ReplyDeleteMhe. Magufuli Hongera sana chapa kazi watanzania tuko pamoja nawe.
ReplyDeleteHongera sana Mh. Magufuli kwa kazi nzuri unayoifanya. Kura yangu ya kuingia ikulu unayo. Mawaziri wote wangetimiza wajibu wao kama Magufuli Tanzania ingekua mbali sana.
ReplyDelete