SIMUTV: Watoto yatima wawili wakazi wa manispaa ya Ilemela mjini Mwanza wafanikiwa kupata hati ya nyumba yao ya urithi baada ya shririka lisilo la kiserikali KIVULINI kushirikiana na uongozi wa mtaa kuingilia kati sakata hilo. http://youtu.be/3PB-kjC4sNI
SIMUTV: Mwenyekiti wa CUF Prof.Ibrahim Lipumba awataka wananchi kijiandikisha katika daftari la wapiga kura wakita akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Mwanza. http://youtu.be/1VWsaj6DNHM
SIMUTV: Mkuu wa Wilaya ya Arusha mjini Christopher Kongoye Awaomba Viongozi wa Dini Kuwahamasisha waumini kudumisha amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu. http://youtu.be/3FcJp3aF_Vg
SIMUTV: Tanzania ikiwa miongoni mwa nchi 100 duniani zilizo mstari wa mbele kutetea haki za watoto wakiwemo wanaoishi katika hali ngumu, bado ina safari ndefu baada ya kubaini mapungufu ya kutetea haki za watoto hao kikamilifu.http://youtu.be/thlrtrEy8QY
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...