Zimekusanywa na Samwel Kamugisha
Ch10 News
Simutv:Kada wa CCM January Mkamba awasihi wagombea wenza wa uraisi kupitia chama chake kuacha kuchafuana kwani wao wote ni wamoja. http://youtu.be/xIXTuhLqDVw
Simutv:Wafanyakazi wa tume ya utumishi wa umma watakiwa kuwa wabunifu zaidi ili kukabiliana na changamoto ufinyu wa bajeti badala ya kuwa walalamikaji. http://youtu.be/Qa7f6Ns-VAQ
Simutv:Katibu mkuu wa CCM Abdulahman Kinana awataka watendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kwimba kutenda haki kwa wananchi pindi watakapo anza ugawaji viwanja kwa ajili ya upanuzi wa mipango miji. http://youtu.be/R4-LJoUp6mo
Simutv:Wajumbe wa Baraza la wawakilishi wanadaiwa kumzuia makamo wa kwanza wa raisi wa Zanzibar Maalim Seif kuhudhuria shughuli ya kuvunja baraza la wawakilishi. http://youtu.be/25W3sFRszQk
Simutv:Halmashuri ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam yaanza zoezi la kuvunja uzio wa majengo yanayojengwa baada ya wamiliki kushindwa kulipia ushuru kwa manispaa hiyo. http://youtu.be/UzC4VLHziwU
Azam tv news
Simutv:Kada wa CCM Prof.Muhongo arudisha fomu Dodoma baada ya kusaka wadhamini huku akikana kupokea fedha za Escrow mbele ya waandishi. http://youtu.be/hyUCdiGfgUI
Simutv:Makamo wa pili wa Raisi wa Burundi akimbia nchi yake na kuelekea Ubelgiji huku akikemea hatua ya Raisi Nkurunzinza kugombea uraisi muhula wa tatu. http://youtu.be/yHbb92fsN9A
Simutv:Sintofahamu juu ya ujenzi wa maghorofa mkoani Mbeya kufuatia hofu ya tetemeko la ardhi yaanza kupotea baada ya ujenzi huo kushika kasi mkoani humo. http://youtu.be/688yzVQY078
Simutv:Sintofahamu yaikumba UKAWA kufuatia kutoafikiana juu ya kugawana majimbo 13 kwa ajili ya ujaguzi ujao baina ya washirika wa muungano huo. https://youtu.be/ckN1sOYd4Ro
Simutv:Jeshi la polisi nchini linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya alizokuwa akisafirisha kwenda nchini Ghana. http://youtu.be/XLfLeoFayUs
STAR TV NEWS
Simutv:Mbunge wa Kigoma Kaskazini David Kafurila aomba mwongozo wa Spika juu ya sakata la ununuaji mabehewa feki.http://youtu.be/Qck1aj8FGpg
Simutv:Kiongozi wa kundi la waasi la ADF aamuriwa na mahakama kurejeshwa nchini Uganda akafunguliwe mashitaka huku mwenyewe akikata rufaa dhidi ya hukumu hiyo. http://youtu.be/CMFlKQaGyjE
Simutv:Halmashauri kuu ya CCM Shinyanga vijini pamoja na madiwani wapinga agizo la waziri mkuu la kumrudisha kazini aliyekuwa mwenyekiti wa halimashauri hiyo baada ya kukataliwa na madiwani kwa tuhuma mbalimbali.http://youtu.be/KVyUk65rpOE
Simutv:Wizara ya ardhi inaendelea na mikakati ya kuwafikisha mahakamani wamiliki wa ardhi milioni 3 nchini kwa makosa ya kukwepa kulipa kodi ya pango la ardhi. http://youtu.be/OZpVcNknt7k
Simutv:Watuhumiwa 3 wa mauaji ya kukata watu makoromeo huko Kagera wanusurika kifo baada ya wananchi kuzingira kituo cha polisi wakitaka kuwaua. http://youtu.be/1DAi08ExyQs
TBC NEWS
Simutv:Serikali yahaidi kuzifanyia marekebisho baadhi ya sheria za masuala ya fedha,kodi,ushuru na tozo kwa lengo la kuboresha ukusanyaji mapato. http://youtu.be/fS3wG2_zWL8
Simutv:Wakazi wa wilaya ya Tanga waipongeza serikali kwa kuboresha huduma za uandikishaji BVR licha ya kuwepo na changamoto kadhaa katika uandikishaji. http://youtu.be/ybNqFEJjUuo
Simutv:Kikao cha sekritarieti ya CCM chini ya uongozi wa katibu mkuu wa chama hicho Abdulahman Kinana kinatarajiwa kukutana kesho mjini Dodoma. http://youtu.be/8hRQK0Llq-Y
Simutv:CCM yatoa wito kwa mabalozi wa nyumba 10 kuhakikisha wanashirikiana na serikali na wadau mbalimbali ili kudhibiti mauaji ya Albino. http://youtu.be/DHMCFnI7xAo
Simutv:Waziri wa nchi ofisi ya makamo wa raisi wa Zanzibar awaagiza wananchi kuzingatia na kufuata sheria katika kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura. http://youtu.be/3LUhgmkTdDs
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...