Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na baadhi ya watoto wenye albinism mara baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Sheikh amri Abeid mjini Arusha leo ambapo aliongoza maadhimisho ya siku ya watu wenye Albinism Duniani leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na baadhi ya watoto wenye albism katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha wakati wa maadhimisho ya siku ya watu wenye albinism Duniani leo. Picha na Freddy Maro
Amefanya vizuri kuwatia moyo na matumaini ndugu zetu hawa. Juhudi zaidi ziwepo katika kuwalinda wasipatwe na ukatili unaoghalimu maisha yao.
ReplyDeleteasante Muheshimiwa.
ReplyDelete