Tuzo zilizokabidhiwa Siku ya
Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma jana tarehe 23 Juni, 2015.
Rais Mstaafu wa Serikali ya
Awamu ya Pili Mh. Ali Hassan Mwinyi (wa
pili kutoka kushoto) akitembelea mabanda katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi
wa Umma 2015 katika Viwanja vya Mnazi
Mmoja jijini Dar es Salaam jana. Anayemuongoza ni Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais – Utumishi Bw. HAB Mkwizu (watatu kutoka kushoto).
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais – Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kushoto) akihutubia wakati wa kilele cha
Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2015 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam jana.
Moja kati ya washindi wa
tuzo za Wiki ya Utumishi wa Umma 2015 wakifurahia tuzo waliyoipata wakati wa kilele
za Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2015 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...