Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama, bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2015.
Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe akiwasilisha makadirio ya Matumizi ya Wizara hiyo ya mwaka 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Ilala na Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azan Zungu, Bungeni mjini Dodoma Juni 5,2015.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...