Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Shirika la Moyo Mtakatifu wa Yesu la Parokia ya Karatu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma juni 22, 2015. Kushoto kwake ni Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Paresso
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na watoto wa Shirika la Moyo Mtaktifu wa Yesu wa Parokia ya Karatu, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na watoto wa Shule ya Awali na Msingi ya Furaha ya Buhongwa Mwanza kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma
![]() |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mafia , Abdulkarim Shahah (kulia) na Mbunge wa Moshi Mjini Philemon Ndesamburo (katikati) kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Peramiho na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge,Jenista Mhagama bungeni mjini Dodoma
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...