Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akisalimiana wanachama wa CCM waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege Musoma mkoani Mara jana kwa ajili yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais.
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akizungumza na wanachama wa Chama Chama Mpinduzi(CCM )nje ya Ofisi ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara baada wakati alipofika kwa ajili yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais.
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwasha mshumaa kwenye Kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere Butiama baada ya kutembelea makazi ya Mwalimu wakati akiwa mkoni humo kwa ajili yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais.
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akimsikiliza kwa makini Mtoto wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Madaraka Nyerere wakati alipotembelea makazi ya Mwalimu, akiwa mkoni humo kwa ajili yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2015

    Kwa ugeni huu na hakika marehemu baba wa taifa atakuwa anajigeuza upande wa pili. Nadhani swali ambalo mgeni wake anatakiwa kujiuliza ni hili: 'Hivi kama angekuwa hai angeupokea vipi ugeni wangu?'

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2015

    Angeupokea ugeni huu kwa furaha kubwa kuona mwana mpotevu anarudi nyumbani!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...