Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wea Monduli, Mh. Edward Lowassa, akitoa hotuba ya shukrani kwenye makao makuu ya CCM mkoa wa Sin gida, baada ya kupata wadhamini kufuatia kucvhukua fomu za kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Mh. Lowassa, ameweka rekodi mpya baada ya kupata wadhamini 22, 758. Tangu aanze kutafuta wadhamini mapema mwezi huu
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wana CCM na wakazi wa Manispaa ya Singida, waklati akiondoka makao makuu ya CCM mkoani Singida, Juni 16, 2015, baada ya kupata wadhamini.
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono wana CCM na wakazi wa Manispaa ya Singida, waklati akiondoka makao makuu ya CCM mkoani Singida, Juni 16, 2015, baada ya kupata wadhamini.Picha na K-VISD MEDIA
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
'Sepp Blatter' Presidency is coming in. Looking forward...
ReplyDelete