Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihitimisha ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya Magharibi "A" na "B".
Wananchi wakimsalimia Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad wakati akihitimisha ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya Magharibi "A" na "B".
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akimfariji kijana mgonjwa wakati akihitimisha ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya Magharibi "A" na "B".
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa na Sheikh Habibu Ali Kombo wakiitia dua baada ya kumjuilia hali. (Picha na Salmin Said, OMKR)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...