Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwapungia mkono wananchi, baada ya kuteremka kutoka ndani ya boti ya (Kilimanjaro 111), aliyosafiria akitokea Dar es Salaam. Aliondoka Zanzibar jana saa 9:30 jioni kwa boti ya (Kilimanjaro 1V) na kurejea kutoka Dar es Salaam leo saa 5:30 asubuhi kwa boti ya (Kilimanjaro 111)
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwasili katika bandari ya Zanzibar akitokea Dar es Salaam kwa usafiri wa boti ya (Kilimanjaro 111).
  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana ya watendaji wa boti ya (Kilimanjaro 1V) baada ya kuwasili bandari ya Dar es Salaam jana jioni akitokea Unguja.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na watendaji wa boti ya (Kilimanjaro 111) wakati akijiandaa kupanda boti hiyo kwa safari ya Zanzibar. Picha na Salmin Said, OMKR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...