Mwananchi akipata maelezo katika banda la Menejimenti ya Utumishi wa Umma katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.
Mwananchi akipata maelezo katika banda la Wizara ya Fedha Katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam
Mwananchi akipata maelezo katika banda la Wakala wa Majengo (TBA) katika maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mwananchi akipata maelezo katika banda la Mfumo wa Taifa wa Bima ya Afya( NHIF) Katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakipata huduma ya afya katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanjwa vya Mnazi Mmoja jijini Dar esSalaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...