Mhe. Dkt. Pindi Chana, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na
Watoto (kushoto) pamoja na mmoja wa wajumbe kutoka Tanzania, Bi.
Costansia Gabusa, Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Jinsia wa Wizara
ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, wakati wa Mkutano wa Mawaziri wa
Nchi za SADC wanaoshughulikia masuala ya Jinsia na Wanawake, Harare
Zimbabwe.
Mhe. Dkt. Pindi Chana, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na
Watoto (kushoto) akiwa na mmoja wa wajumbe kutoka Tanzania, Bi.
Costansia Gabusa, Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Jinsia, katika
Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wanaoshughulikia masuala ya Jinsia
na Wanawake, Harare Zimbabwe.
Mhe. Dkt. Pindi Chana, akiwa pamoja na Mawaziri na viongozi mbalimbali
kutoka nchi za SADC wakimpokea Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Mhe. E.D.
Mnangagwa alipowasili kwa ajili ya uzinduzi wa Mkutano wa Mawaziri wa
Nchi za SADC wanaoshughulikia masuala ya Jinsia na Wanawake, Harare
Zimbabwe
Mhe. Dkt. Pindi Chana, (mstari wa nyuma, katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na Mawaziri na viongozi mbalimbali kutoka nchi za SADC walio
hudhuria Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wanaoshughulikia masuala
ya Jinsia na Wanawake, Harare Zimbabwe.Mkutano huu ulifungwa na Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Mhe. E.D. Mnangagwa (pichani mbele, watatu kushoto)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...