Waziri Mkuu mstaafu wa awamu ya tatu Mheshimiwa Bw.Frederick Sumaye alitinga katika ofisi za makao makuu ya Chama cha Mapinduzi mkoani Dodoma kuchukua fomu za mbio za urais 2015 akiwa ameongozana na mke wake Mama Esther Sumaye. Hapa akiweka saini mbele ya Katibu wa Oganaizesheni wa CCM , Dk Mohamed Seif Khatib
 Mhe Sumaye akionesha fomu baada ya kukabidhiwa
 Mhe Sumaye akionesha mkoba uliobeba fomu baada ya kukabidhiwa. Pembeni ni mkewe Mama Esther Sumaye
Mhe Sumaye akiaga baada ya kuchukua fomu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2015

    Baada ya kuchukua fomu, mtakapozunguka nchi kutafuta sahihi mtapata picha kamili ya nchi hii na yale yanayotakiwa kubadilishwa ilani yenu ya uchaguzi itayarishwe ili kuyarekebisha yote. Nchi hii ina fursa na ralimali nyingi uongozi bora na kutumia raslimali za nchi vizuri ikilenga kwenye huduma za jamii unatakiwa kutupeleka mbele na kubeba watanzania wote ili tusiwe na watazamaji bali wote tushiriki kulipelekea gurudumu la maendeleo ya watanzania mbele katika sekta zote. Wakati wa kutunza amani na maendeleo ni sasa, kama siyo sasa sasa hivi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...