Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajab Rutengwe akiwa ameshika mwenge wa Uhuru baada ya kupokea kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Said Magalula
 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajab Rutengwe (kushoto) akiwa amekumbatiana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Said Magalula baada ya kukabidhiwa Mwenge wa Uhuru.
 Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa Bw. Juma Khatibu  Chum akifungua kitambaa kama ishara ya kuzindua zoezi la uandikishaji wapiga kura Wilayani Mvomero lililofanyika  katika Kijiji cha Salawe Kata ya Kibati.
: Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Bw. Juma Khatib (katikati) akipewa maelezo ya  zoezi la uandikishaji wa wapiga kura litakavyoendeshwa, muda mfupi baada ya kuzindua zoezi hilo. (Kulia mwenye tracksuit) ni Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Betty Mkwasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...