Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akifurahia msaada wa madawati toka Benki ya NMB ,wengine ni viongozi kutoka katika benki hiyo pamoja na viongozi waliokuwa wakiiwakilisha serikali. 
Meneja wa Benki ya NMB tawi la Usa River,Bernadeta Mmary akikabidhi msaada wa madawati kwa mwakilishi wa afisa elimu ,Jumanne Masuke uliotolewa na benki kwa shule ya msingi ,Sura iliyopo kijiji cha Songoro wilayani Arumeru.
Mbunge Joshua Nassar akizungumza wakati wa hafla fuoi ya kukabidhi msaada wa madawati uliotolewa na Benki ya NMB kwa ajili ya shule ya msingi Sura iliyopo kijiji cha Songoro wilaya ya Arumeru

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...