Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali wakiwa sambamba na Mbunge Jimbo la Temeke, Mh. Abbas Mtemvu (kati) kwenye viwanja vya Mwembe Yanga wakifuatilia mpambano kati ya timu ya Mtoni dhidi ya Kata ya 14, zilipokuwa zikichuana ambapo katika mchezo huo, Kata ya 14 iliichapa Mtoni mabao 4-3.
Mshambuliaji wa timu ya Mtoni, Samwel Salonge (kulia) akimtoka beki wa timu ya timu ya Kata ya 14,katika mpambano wa Nusu Fainal ya Mtemvu Cup kwenye Uwanja wa Mwembeyanga Dar es Salaam jana, Mtanange huo, Kata ya 14 iliichapa Mtoni mabao 4-3.
Mshambuliaji wa timu ya Mtoni, Rajabu Zanda akimtoka beki wa timu ya timu ya Kata 14,katika mpambano wa Nusu Fainal ya Mtemvu Cup kwenye Uwanja wa Mwembeyanga Dar es Salaam jana, Mtanange huo, Kata ya 14 iliichapa Mtoni mabao 4-3.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...