Aliyekuwa Makamu wakwanza Rais wa shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athumani Nyamlan (mwenye tai) akikagua timu ya mpira ya Mtoni na Azimio wakati wa mashindano ya robo fainali ya kwanza ya Mtemvu Cup katika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam Mtoni ilishinda mabao 4-3.
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akisalimia mmoja wa kiongozi wa timu hizo baada ya aliyekuwa Makamu wakwanza Rais wa shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athumani Nyamlan kukagua timu zizo Dar es Salaam viwanja vya Mwembeyanga.
Mlinda mlango wa timu ya Azimio Jafary Iddy akimdhibiti mchezaji wa timu ya mtoni Nyaka Abuu wakati alipofika langoni kwake wakati wa mashindano ya robo fainali ya kwanza ya Mtemvu Cup katika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam Mtoni ilishinda mabao 4-3.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...