Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Chifu wa Wahehe Adam Abdu Sapi Mkwawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakizungumza na Chifu wa Wahehe Adam Abdu Sapi Mkwawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa leo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Chifu wa Wahehe Adam Abdu Sapi Mkwawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa Juni 20, 2015
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...