Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Kaimu Mufti Mkuu wa
Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Sheikh Suleiman Lolila Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania
Sheikh Abubakar Zubeiry Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya kumbukumbu na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Sheikh Suleiman Lolila Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...