Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi wakiwa katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kujumuika katika futari ya pamoja iliyoandaliwa kwa viongozi mbali mbali wakiwemo , Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho na Wawakilishi wa CCM. Hafla imefanyika punde baada ya kuvunjwa Baraza la Wawakilishi jana jioni
Sehemu ya waalikwa katika futari ya pamoja iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein ikijumuisha viongozi mbali mbali wakiwemo Wawakilishi wa CCM. Hafla imefanyika punde baada ya kuvunjwa Baraza la Wawakilishi jana jioni
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akiagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad Futari ya pamoja iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein ikijumuisha viongozi mbali mbali wakiwemo Wawakilishi wa CCM. Hafla imefanyika punde baada ya kuvunjwa Baraza la Wawakilishi jana jioni.
Picha na IKULU, ZNZ
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...