Baadhi wachuuzi wa kitowea maarufu kwa wakazi wa Bukoba,kiitwacho senene,wakiwaandaa tayari kwa kuwauza kwa wateja wao,ambapo hupima kwa kiganja cha mkono kwa kiasi cha shilingi 500. 

Kijana
akiandaa senene wake kwa ajili ya chakula,kama alivyokutwa na Camera ya
Globu ya Jamii nje ya soko la Bukoba mjini,ambako Senene hao hupatikana
na kuuzwa kwa wingi.
Baadhi ya akina mama wakiwa kwenye ujasiliamali wao biashara ya mbogamboga nje ya soko la Bukoba mjini,mapema leo mkoani Kagera.
PICHA NA MICHUZJI JR-BUKOBA
Hao sio senene ni panzi. Senene ni wanene kama wadudu hivi, wana protein nyingi sana na ni watamu wakiaangwa.
ReplyDelete