![]() |
Wafadhili wa shule ya Sekondari Kishumundu iliyopo wilaya ya Moshi wakisalimia mara baada ya kutambulishwa katika hafla hiyo. |
![]() |
Wanafunzi wa Shule ya sekondari Kishumundu wakitoa burudani ya nyimbo mbele ya wageni waliofika shuleni hapo kwa ajili ya makabidhiano ya jengo la Bweni la Wasichana lililojengwa ufadhili wa TANAPA. |
![]() |
Bweni la wasichana katika shule ya Sekondari ya Kishumundu lilojengwa na TANAPA. |
![]() |
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akizindua rasmi Bweni la wasichana katika shue ya sekondari Kishumundu. |
![]() |
RC,Gama akikata utepe kufungua jengo la Bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Kishumundu wilayani Moshi. |
![]() |
Sehemu ya ndani ya Bweni la wasichana katika shule ya sekondari Kishumundu,Jengo lililojengwa kwa ufadhili wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA). |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
Hii ni misaada mizuri inayogusa wengi, endeleeni na miradi ya maana kama hii kwa manufaa ya vijana wetu. Shule itunze vifaa hivi wakati Shule zingine zijifunze na kujipanga kuboresha mabweni ya wanafunzi katika viwango kama hivi kwenye shule zao.
ReplyDelete