Waziri
wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdalah Kigoda akizungumza wakati wa
kumbukumbu ya Kiongozi wa China wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa
mikutano wa BOT jijini Dar es Salaam


Wajumbe wa mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda akizungumza mara baada ya
kutoka katika mkutano wa kumbukumbu ya kiongozi wa nchini china,
aliyeweka uhusiano mzuri kati ya watu wa Tanzania kipindi cha enzi za
uhai wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Baadhi ya wajumbe wakiangalia picha iliyopigwa kipindi cha Mwalimu Nyerere.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...