Bwana Amos Kevin Mshuza, anasikitika kutangaza kifo cha kaka yake mpendwa Martin Frederick Mshuza (pichani) kilichotokea siku ya Alhamisi tarehe 11/06/2015 saa tatu na nusu asubui katika Hospitali ya  Agha Khan Nairobi.
Mazishi yatafanyika siku ya Jumatatu tarehe 15/06/2015 alasiri katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Tabata Magengeni, nyuma ya Bank ya CRDB-Tabata, Dar es Salaam.
Habari ziwafikie mjomba wa marehem Gerome Danford Kasembe wa DC-Marekani, dada yake Joyce Kasembe Omary wa Marekani, wafanyakazi wote wa Azania Bank pamoja na ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa.
Jina lake na Lihimidiwe
Amina

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2015

    Gone too soon, you will be remembered by many. Rest in peace Martin--- Dada J

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...