Mtangazaji nguli wa Azam Media Charles Hilary (kulia) akiwa na wachezaji nyota wa zamani wa Taifa Stars Omari Zimbwe (kushoto) na Shaaban Katwila walipomtembelea kazini kwake Tabata Relini jijini Dar es salaam
Mtangazaji nguli wa Azam Media Charles Hilary (kulia) akiwa na wachezaji nyota wa zamani wa Taifa Stars Omari Zimbwe (kushoto) na Mphamed Hussein "Mmachinga" walipomtembelea kazini kwake Tabata Relini jijini Dar es salaam
Mtangazaji nguli wa Azam Media Charles Hilary (kati) akiwa na wachezaji nyota wa zamani wa Taifa Stars Omari Zimbwe (kushoto) na Sunday Manara "Computer" walipomtembelea kazini kwake Tabata Relini jijini Dar es salaam
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...