Mchakato wa Udhamini ukiendelea katika kijiji
cha Sagara Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma.
Dkt. Magufuli
akiagana na Wanachama wa CCM katika Kijiji cha Sagara waliojitokeza kumdhamini
katika harakati za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais kupitia Tiketi ya CCM
katika Uchaguzi Mkuu ujao.
Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mkoani Geita Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulia akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini kutoka Kijiji cha Sagara Wilayani Kongwa waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Katibu wa CCM Wilayani Kongwa
Dkt. Magufuli
akisalimiana na wana Kongwa mara baada ya kupata wadhamini katika Wilaya hiyo
Mkoani Dodoma.
Dkt. Magufuli
akisalimiana na wana Kongwa mara baada ya kupata wadhamini katika Wilaya hiyo
Mkoani Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...