Waziri wa Ujenzi
ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi
fomu za Kuomba kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM kwa Naibu Katibu Mkuu Ndugu Rajabu Luhwavi mara baada ya kufanikiwa kupata wadhamini
katika mikoa 23 ya Tanzania Bara na Visiwani.
Dkt. Magufuli
akisaini kitabu baada ya kurudisha Fomu hizo.
Waziri Magufuli akihakiki fomu hizo kabla ya
kuziwasilisha kwa Uongozi wa CCM Mkoa wa Dodoma.
Magufuli akionyesha ramani ya Sehemu alizopita katika
mchakato wa kutafuta Wadhamini katika Mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara na
Visiwani
Dkt. Magufuli akiwa katika
picha ya Pamoja na Viongozi wa CCM Mkoani Dodoma mara baada ya kurudisha fomu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...