.Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya kushoto Akishirikiana na Mkurugenzi Mkuu wa World Lung Foundation(wa pili kushoto)Dr Nguke Mwakatundu kukata utepe wakati wa Uzinduzi wa Nyumba za Watumishi wa Afya katika kituo cha Afya Nguruka Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma.
Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya akikata utepe Ikiwa ni Ishara ya ufunguzi wa Nyumba zilizo jengwa kwa hisani ya WLF kwa ajili ya watumishi wa Afya katika kituo cha Nguruka Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya akikagua moja ya Nyumba za Watumishi wa Afya zilojengwa kwa hisani ya WLF Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya(wa tatu kushoto)akifatiwa na Mkurugenzi Mkuu wa WLF Dr Nguke Mwakatundu katika picha ya pamoja na Baadhi ya wataalamu wa Afya Wilayani Uvinza Mkoani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...