Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia wakazi wa kijiji cha Sambi kata ya Irugwa, wilayani Ukerewe waliojitokeza kwa wingi kumpokea ,Kinana ameweka historia kwa kuwa kiongozi wa kwanza kufika katika kisiwa hicho akiwa kwenye ziara ya kukagua,kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi pamoja na kukagua uhai wa Chama.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimina na mmoja wa wakazi wa kata ya Irungwa
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kijiji cha Sambi kata ya Irugwa.
 Wananchi wa Kata ya Irugwa wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (katikati) akiwapingia mkono wananchi waliojitokeza kumpokea kwenye kisiwa cha Ukara.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifuturu ndani ya meli ya Mv.Nyerere akiwa njiani kuelekea Nansio Ukerewe,Wengine pichani ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Mhe.Antony Diallo (katikati) na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Magessa Mulongo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa Nansio waliojitokeza kwa wingi kumpokea. (Picha na Adam Mzee)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...