TX4A9780Mama wa mitindo hapa Tanzania maarufu kwa jina la Asya Idarous Khamsin na Titty wanakuletea futari ya pamoja ndani ya Terrace Lounge, Msasani City Mall,siku ya Jumapili 12, July 2015 kwaanzia mida ya saa kumi na mbili kamili hadi saa mbili usiku. Jipatie kadi yako kwa shilingo 25,000/= tu! kwani 15000/= ni special kwaajili ya Dinner yako, inayobaki ni sadaka itakayo tumika kununulia Khanga zitakazo pelekwa Hospitalini kwa wagonjwa wanawake siku ya IDD. Hivyo kwa moyo wa kujitolea nyote mnakaribishwa kushiriki katika zoezi hili, pia kwa mawasiliano zaidi piga namba o784263363 au 0754273472.Futari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2015

    Nawapa hongera Asya na Titty kwa mfano huu wenu wa ukarimu kwa kuwafikiria wagonjwa wanawake hospitalini wakati huu wa Idd.
    Huu ndio mfano wa kuigizwa kote nchini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...