Naibu Katibu Mkuu
Ofisi ya Makamu wa Rais Anjelina Madete(katikati)
akifungua mkutano wa Mkataba wa Minamata kuhusu madini ya zebaki uliofanyika jana kwenye
hoteli ya peacock jijini Dares Salaam.Kulia
ni Mkurugenzi wa Mazingira kutoka ofisi hiyo, Joseph Kihaule na kushotoni Mwakilishi wa Taasisi ya Umoja wa
Mataifa ya Mafunzo na Utafiti(UNITAR), Carlos Maren.
Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya
Makamu wa Rais, Joseph Kihaule (kushoto)akisisitiza jambo wakati akiongoza
mkutano wa Mkataba wa Minamata kuhusu madini ya Zebeki uliofanyika jana kwenye
hoteli ya peacock jijini Dares Salaam,
kulia ni Mwakilishi wa Taasisi ya Umoja wa Mataifa ya Mafunzo na
Utafiti(UNITAR), Carlos Maren.
Issaria Mangalili akitoa mada juu ya mikataba mbalimbali inayohusu
kemikali mkutano wa Mkataba wa Minamata kuhusu madini ya Zebeki uliofanyika jana kwenye
hoteli ya peacock jijini Dares Salaam.
Mhandisi Peter Nyangombe (wa pili
kushoto) akitoa mada juu ya Mkataba wa Minamata
kuhusu madini ya Zebeki uliofanyika jana
kwenye hoteli ya peacock jijini Dares
Salaam.
wadau wa mkutano wa Mkataba wa Minamata kuhusu madini ya Zebeki uliofanyika jana wakijadiliana
jambo kwenye hoteli ya peacock jijini Dares Salaam.
Picha ya pamoja kati ya Naibu Katibu
Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Anjelina
Madete(wa pili kushoto) mara baada ya kufungua
mkutano wa Mkataba wa Minamata kuhusu madini ya Zebeki uliofanyika jana kwenye
hoteli ya peacock jijini Dares Salaam.Kulia
ni Mkurugenzi wa Mazingira kutoka ofisi hiyo, Joseph Kihaule na (wa pili kulia) ni Mwakilishi wa Taasisi ya Umoja wa Mataifa ya
Mafunzo na Utafiti(UNITAR), Carlos Maren. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa
mazingira kutoka ofisi hiyo, Rogathe Kisanga.
Picha na Magreth Kinabo – Maelezo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...