Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi hundi ya Shilingi milioni 12 kwa ajili maandalizi ya Futari iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Madhehebu ya Dini. Kulia ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum wakionyesha hundi ya shilingi milioni 12 kwa ajili ya maandalizi ya futari iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya viongozi wa Madhehebu ya dini itakayofanyika Ijumaa Julai 3 kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...