Mkuu
wa Matawi wa Benki ya Exim, Bi Elizabeth Mayengo (wa pili kulia) na
Meneja Mahusiano wa benki hiyo, Bi. Violet Bikoche (wa pili kushoto)
wakibadilishana mawazo na baadhi ya wateja wa benki hiyo wakati wa hafla
ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi
karibuni.
Baadhi ya wateja wa
Benki ya Exim wakishiriki futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya Mwezi
Mtukufu wa Ramadhan jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Mkuu wa Matawi wa
Benki ya Exim, Bi Elizabeth Mayengo (kulia) akizungumza na baadhi ya wateja wa
benki hiyo wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es
Salaam hivi karibuni.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...