Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya KCB Tanzania Christina Manyneye( kulia) akimkabidhi mwalimu mkuu wa shule ya msisiri Kinondoni  jijini Dar es salaam, Susan Orege  moja ya dawati kati ya 100 waliyopewa msaada na benki hiyo wakati wa hafla fupi iliyofanyika shuleni hapo .Katikati ni MKurugenzi Mkuu wa mamlaka ya Elimu Tanzania Joel  Laurent akishuhudia ,Shule kumi za msingi za jijini zimenufaika na msaada huo wa kila shule kupata madawati 100.
 Mkuu wa Masoko na mahusiano wa Benki ya Kcb Tanzania Christina Manyenye (katikati) Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)Joel Laurent na Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi msisiri   , Susan Orege, wakifurahia jambo huku wakiwa wamekalia moja ya dawati  kati ya 100 yaliyokabidhiwa shuleni hapo na KCB benki . Jumla ya shule kumi za msingi za jijini zimenufaika na msaada wa madawati 100 kwa kila shule. 
 Wanafunzi wa shule ya msingi Msisiri Kinondoni jijini Dar es Salaam, wakimsalimia kwa furaha Mkuu wa Masoko na Mahusiano  wa  benki ya KCB Tanzania Christina Manyenye baada ya kuwakabidhi msaada wa madwati 100 kwa ajili ya sshule hiyo. Shule kumi za jijini zimenufaika  namsaada huo kwa kila shule kupata matawati 100. Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...