Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Edward Marks  (wa pili kushoto), akimkaribisha Kaimu Mufti wa Tanzania, Shehe Abubakar Bin Zubeir Bin Ali katika hafla ya futari waliyowaandalia wateja wao na wageni wengine waalikwa. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Dk. Kassim Hussein. 
 Baadhi ya wateja wa NBC na wageni waalikwa wakichukua futari iliyoandaliwa na Benki ya NBC,
 Baadhi ya wateja wa NBC na wageni waalikwa wakichukua futari iliyoandaliwa na Benki ya NBC,
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Edward Marks  (katikati, mwenye suti nyeusi) akishiriki mlo wa futari waliyowaandalia  wateja wao na wageni wengine waalikwa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia kwake ni Kaimu Mufti wa Tanzania, Shehe Abubakar Bin Zubeir Bin Ali, Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Dk. Kassim Hussein na kushoto kwa mkurugenzi ni Ofisa Fedha Mkuu wa benki hiyo, Jaffari Matundu.
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NBC Tanzania, Dk. Kassim Hussein (kushoto) akibadilishana mawazo na Kaimu Mufti wa Tanzania, Shehe Abubakar Bin Zubeir Bin Ali (wa pili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Edward Marks (katikati, mwenye suti nyeusi) na Ofisa Fedha Mkuu wa NBC, Jaffari Matundu (kulia) katika hafla ya wa futari waliyowaandalia wateja wao na waalikwa wengine jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...