Mmoja wa watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi akiwa mikononi mwa polisi baada ya kutiwa mbaroni Mnara wa Saa maeneo ya Stesheni Dar es Salaam leo mchana kwa madai ya kupora kiasi kikubwa cha fedha. Watu hao wanadaiwa kuwa walikuwa wanne.
Kijana mwingine anayedaiwa kuwa ni jambazi akiwa amekamatwa.
Watuhumiwa hao wanne wa ujambazi wakiwa ndani ya Noah kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi. Kulia ni askari Polisi.
Askari kanzu (katikati), ndiye anadaiwa kuwadhibiti majambazi hayo kabla ya kujificha chini ya uvungu wa taxi zinazoegeshwa jirani na Mnara wa Saa katika makutano ya barabara ya Uhuru, Samora na Nkruma.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Kazi nzuri polisi.
ReplyDeleteHata mimi nataka niwe askari kanzu ili niimalize hii mijambawazi. washenzi wakubwa hawa. sasa wakanyee debe. dr salimini anasema dola haichezewi zinazochezewa ni ndevu
ReplyDelete