Taarifa iliyotufikia chumba cha habari cha Globu ya Jamii hivi punde, inaeleza kuwa Mwanamuziki wa siku nyingi wa Muziki wa Dansi hapa nchini, Ramadhan Masanja "Banza Stone" amefariki dunia mchana huu nyumbani kwao Sinza karibu na Lion Hotel jijini Dar es salaam.
TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIA BAADAE KIDOGO.
Pumzika kwa amani ngosha wa kukaya,na asante sana kwa muziki wako.
ReplyDeletePumzika kaka poleni watanzania
ReplyDeleteR.I.P kaka na poleni sana wafiwa
ReplyDelete