Taatifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde, inaeleza kuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoani Dodoma, Mariam Mfaki amefariki dunia leo katika Hospitali ya Dodoma, alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa kansa uliokuwa ukimsumbua, familia yake imethibitisha kutokea kwa kifo hicho.Taarifa zaidi tutaendelea kuwajuza kadri zitakavyokuwa zikitufikia.
Mungu aiweke Roho yake mahala pema Peponi
-Amin.
Mungu amlaze mahala pema peponi Marehemu. Tunawapa pole wafiwa wote na Inshallah mwenyezi mungu awatie nguvu na subra katika kipindi hiki kigumu. Hussein
ReplyDeleteR.I.P dada Mariam.
ReplyDeletePoleni sana wafiwa. Mungu awape nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu