TANGU
mgombea mwenye umri mdogo zaidi kutangaza nia ya kutaka kuwa rais wa
Tanzania, Dogo Jembe amejikuta akipambana na upinzani mkali toka kwa
wananchi wengi hasa watumiaji wa mitandao ya kijamii ambao wengi
wamekuwa wakimtaka arudi shule huku wengine wakimshambulia kuwa
anatumiwa na mmoja ya wanasiasa.
Mara
baada ya kuzongwa na waandishi wa habari waliomuuliza anachukuliaje
maoni ya wananchi kuhusu nia yake ya kuutaka urais amelazimika kuitisha
mkutano na waandishi wa habari ambapo ameongea kwa hisia akihoji kama
hawamtaki yeye ni nani hasa wanaona anafaa. Tazama video hii.
Hivi nikweli au huyu dogo anatuchezea akili zetu?
ReplyDeleteMatipwi
ReplyDeleteHuwa inaanza kama maskhara vile na taratibu inakuwa kweli na kusadikika huku tukianziwa na 'paukwa' na sote kwa sauti moja na kwa asilimia zote tukaitika 'pakawa'.
ReplyDelete