Mkurugenzi wa biashara ya
ndani mamlaka ya maendeleo ya biashara Tanzania (TANTRADE), Edwin Rutagarutwa
akizungunza katika semina ya kibiashara
iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu nyerere jijini Dar es
Salaam leo. Kuhusiana na wigo wa biashara hapa nchini na nchi ya Finlan.
Mwenyekiti wa mkutano na
Ushirikishaji wa ubalozi wa Finland,Siv
Ahlberg katika akizungunza katika semina
ya kibiashara iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini
Dar es Salaam jana, kuhusiana na
historia ya Finland pamoja na njia za kibuiashara za nchi yao.
Mkurugenzi Mkuu wa Global
Education Link, Abdulmalik Mollel akiuliza swali kuhusiana na utoaji elimu kwa
wananchi kuhusiana na masual;a ya kibiashara kati ya wafinland waliopo hapa
nchini na Watanzania.
Mkurugenzi mkuu mtendaji wa
kampuni ya 3disius International , Afrodisius Sabuni akichangia maada katika kuhusiana na kinga ya
mjasisliamali wa kitanzania kwenye kutoa taarifa za kibenki kwa wawekezaji wa
kigeni iko na imara kwa kiasi gani na inaulinzi wa kutosha katika jamii, katika
semina ya kibiashara iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu nyerere
jijini Dar es Salaam jana. 
Baadhi ya wadau wa biashara
waliohudhuria katika mkutano unaoshirikisha wadau wa biashara wa hapa nchini na
wafinland.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...