Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania
akiwa katika meza kuu pamoja na Wahe.
Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu ya Tanzania katika Sherehe za
kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya, katika Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam.
![]() |
Sehemu ya Mawakili wapya walioapishwa na Mhe. Jaji Mkuu ambaye ameapisha jumla ya Mawakili 412 na kuongeza idadi ya jumla ya Mawakili 4874. |
Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (aliyeketi
katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wahe Majaji wa Mahakama ya Rufani
(walioketi), Mhe. Shaaban Ali Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania
(wa tatu kulia) na baadhi ya Mawakili wapya (waliosimama) waliopishwa mapema
leo. Picha na Mary Gwera wa Mahakama.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...