Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akimtoka beki wa KMKM, Khamis Ali Khamis wakati wa mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 2-0.
Deus Kaseke akiwatoka wachezaji wa KMKM.
Golikipa wa timu ya KMKM ya Zanzibar, Nassor Abdulla Nassor
akiokoa moja ya hatari langoni mwake wakati timu yake ilipopambana na Yanga
katika mchezo wa Kombe la Kagame.
Donald Ngoma (kulia) akiwania na beki wa KMKM, Khamis Ali Khamis.
Mashabiki wa Yanga wakishangilia timu yao.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...