Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akibadilishana hati ya mkataba wa makubaliano na Mkurugenzi wa Maxcom Africa,
Juma Rajabu baada ya uzinduzi wa huduma za ‘FahariHuduma wakala’ kupitia vituo
vya Maximalipo. Hafla imefanyika leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis
Dande)
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei na Mkurugenzi wa Maxcom Africa,
Juma Rajabu wakisaini hati ya
mkataba wa makubaliano wa huduma za ‘FahariHuduma wakala’ kupitia
vituo
vya Maxmalipo.
Naibu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na
Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay akisaini hati ya
mkataba wa makubaliano wa huduma za ‘FahariHuduma wakala’ kupitia
vituo
vya Maxmalipo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...