Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI Mhe. James  Mbatia akitia saini katika kifaa kimoja wapo kwa ajili ya kuweka kumbukumbu wakati wa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura  katika kijiji cha Kwamare kata ya Kirua Vunjo Magharibi Jimbo la Vunjo.
Mh Mbatia akiweka vidole gumba kwa ajili ya kuchukuliwa alama.
Afisa uandikisha akimkabidhi Mh Mbatia kitambulisho chake mara baada ya kumaliza zoezi la uandikishaji.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2015

    Hizi kuta rangi vipi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. AnonymousJuly 02, 2015

      Hiyo ni Kilimanjaro kaka, rangi zote waliishakunywa wajanja.

      Delete
  2. AnonymousJuly 02, 2015

    Mmmmhhh mbona hata mjini zipo kuta za hivyo? usishangae!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...