Maharausi wakikata keki kuashilia upendo katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Danken House,Mikocheni jijini Dar es Salaam,
Bwanaharusi Yahaya Kiyabo akimlisha keki Biharusi,Aisha Kirapo katika hafla iliyfanyofanyika katika ukumbi wa Danken House,Mikocheni Jijini Dar es Salaam,
Biharusi,Aisha Kirapo akimlisha keki Bwanaharusi Yahya Kiyabo katika hafla iliyfanyofanyika katika ukumbi wa Danken ,Mikocheni Jijini Dar es Salaam,
Bwanaharusi Yahya Kiyabo akiwakabidhi baadhi ya Wafanyakazi wenzake wa Benki ya CRDB keki katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Dunken House,Mikocheni,jijini Dar es Salaam.
Baadhi wa washiriki katika hafla hiyo wakisubiri keki katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Danken House,Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Mama mzazi wa bwanaharusi wakifurahia jambo kwa pamoja
Maharusi wakipeleka keki kwa wakwe hawapo pichani katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Dakan,Mikocheni ,jijini Dar es Salaam.
Sio Jiko ni mke, jamani! Yaani, wake zetu bado tunawafikiria kukaa jikoni a kutupikia?
ReplyDelete